Huwezi kumtegemea fashion designer avae kaa anavyovaa mtu mwengine mtaani. Hatauza kazi zake.
Lazma avae yeye hana ma models?
Gaijin, Unamtetea mno huyu kijana.
hebu declare interest kwanza best
Ha ha ha ........hamna kitu mkuu. Mimi nilikuwa na state facts tu.
Ukienda maduka yenye majina kwenye miji mikubwa yoyote handbags za wanaume ni kawaida na bei yake ni hatari!
Kuvaa vituko kwa designers pia ni kawaida.
Note: Sijatetea kuwa tabia hiyo ni sawa au la, nasema kuwa siajabu tu. 😀