mmmh mi ntakuwa wa mwisho kuvaa such designs na kutembea na handbag za design hiyo!! Acha nionekani mshamba tu.....!!!
Hakuna mwanamume yoyote rijali anaweza kubeba handbag kama hiyo....Kwa UK kubeba bag na kuvaa hivyo ni kujitambulisha kwamba wewe ni bwa bwa...Ndiyo fashion yao siku hizi hayo mahandibagi makubwa makubwa.
Wanajaza pampers... ha ha ha!
ANA CHEMBE CHEMBE ZA USHOGA HUYU SI BURE, KWANI WANAUME MADESIGNER SI WENGI TU HAWANA MAMBO KAMA HAYA.:frusty::frusty:
hamna kitu hapo,dogo bwabwa tu