wanawake bwana, hawaeleweki kabisa
Mwambie wife anafanya kitu ambacho yuko confortable nacho..akisubiri miguu inenepe hiyo siku haitafika.
Lakini pia kama jamaa anaona ni myembamba sana si amwambie hata kiutani utani
Mmh! FirstLady, ni utani gani huo atakaoutumia? Nijuavyo mimi utani wa kweli huwa wauma!! halafu afadhari kwa mwanaume Mwanamke inakuwa kesi inayojitegemea hiyo!!😛ound:
hahahaha utasema aaah wife leo ungeondoka na ile skin jeans ungekuwa kisura kweli kweli..
Wife leo nimekununulia nguo hii ..naona itakufit kweli kweli...
Mama choice ya leo badilisha mie napenda hii hapa unatoa mfano ..mwisho wa siku atakupenda zaidi na kugundua unampenda na kuthamini uvaaji wake
au amshauri aikateAh! tayari huyo mwanamke kesha mpenda kwa yote maana naamini kuwa alimfurahia kabla ya kumleta ndani na kukubali matokeo ya lolote lile liwalo kwa hiyo akae tu kimya na kumuacha aendelee na mavazi yake hayo. Au aliuziwa mbuzi ndani ya gunia? Ki ufupi ni kwamba aizoee miguu yake hiyo myembamba.
he!! si amwambie kuwa ukivaa hvyo hupendezi........hutoki chicha!!Mwambie wife anafanya kitu ambacho yuko confortable nacho..akisubiri miguu inenepe hiyo siku haitafika.
Lakini pia kama jamaa anaona ni myembamba sana si amwambie hata kiutani utani
....Siku amwulize tu :Mwambie wife anafanya kitu ambacho yuko confortable nacho..akisubiri miguu inenepe hiyo siku haitafika.
Lakini pia kama jamaa anaona ni myembamba sana si amwambie hata kiutani utani