haha kama vile alikuwa hajapenda unavyo vaa sasa kitu gani alichokipenda!!! i am not surprised ila wao wanapenda kuwa na control and power!!!nyamayao mimi hata wanaume wengine siwaelewi kabisa...................atakuoa kisha atataka akubadilishe kiasi cha kuwa ukijitazama kioni sijue unamtizama nani!
sasa uliniolea nini?@@@@@
mimi kujibadili kwa mwanamme jamani bado akku!
simple, clear and to the point.
mi mtu wangu akiniambia hivo ntafurahia kweli aisee kuliko nitoke nionekane kituko huko mbele!!
btw mnaosema eti alipomuoa hakuona hizo kasoro mna maana gani??? kwamba mpaka ufikie kumuoa mtu basi she is perfect hata hana kasoro?? c'mon people!! Kila mtu anajua lichenguka na nnn kwa mtu wake ukiachilia ukweli kwamba huyo mwenza aweza kuwa tu na kasoro yake ila kwake haikuwa na kipaumbele kwenye kuchagua.
hehehe ............jamani aaah kuna shoga yangu mmoja kaolewa duh huyo mume alivyokuwa na masharti mie nikihadithiwa hoi!
mwanamke anaambiwa hajui kula uzuri wala kutembea! heheheh ...................hapo uvaaji nao unakosolewa saa zote. mwanamke taabani.
nyamayao................kuna wale wana maumbo juu makubwa chini madogo. wakila tight jeans utaenda mbio. but wenyewe aaaah hata habari hawapati..............sasa mtu kama huyu akiwa mkeo si utamsumbua bure! maana utamwambia avae skirt na blouse daily na mwenyewe hajazowea?!
tunamaanisha kuwa angeanza kumwambia hayo mapema wangeenda sawa kabisa, sasa umesubiri aingie ndani ndio uanze kumkosoa kwanini? kila mtu ana kasoro zake na kuna vitu vinamchengua pia, lakini kwa jambo kama hili ningekuwa mie ndio huyo mkaka ningemrekebisha kuanzia mwanzoni,mfano kwangu mie pia mr hakuwa perfect nilirekebisha vitu kibao wakati wa urafiki tulivyoingia ndani ilikuwa narashia rashia tu na yeye akawa ananielewa.
tukubaliane kuwa alikosea hakumrekebish atoka mwanzo. mim i pingamizi langu lilikuwa kwa ile point kuwa kwani akimuoa alikuwa haoni kasoro? ndo nikasema kwani kuna mtu yuko perfect? kasoro unaziona lakini strength zinakuwa zimezidi hizo kasoro kwa hiyo mtu anaona tutarekebishana as we go along.....vinginevyo sina pingamizi hapo
Nijuavyo mkeo ndiye rafiki yako wa karibu sasa huyo bwana iweje aone kasoro au kukereka na tabia fulani ya mkewe asimwambie? Mm naona suluhisho ni kumweleza tu, hata akichukia lkn ujumbe anakuwa ameupata, na nadhani ataufanyia kazi tu, hawezi endelea kuvaa asivyotaka mumewe labda kama kamchoka