Kivuko EID coupon-KQHB330TC3I

Kivuko

Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
66
Reaction score
4
Kivuko.com inapenda kuwatakia watanzania wote sikuukuu njema ya Eid.

pamoja na salam hizo tunaambatanisha kuponi kwa wale wote watakaotumia mtandao wa kivuko.com kufanya manunuzi yao katika kipindi hiki cha EID,kuponi hii itakupa punguzo la asilimia 5 kwa kitu chochote utakachonunua kivuko.com katika kipindi cha EID.

jinsi ya kuitumia:

mara baada ya kufanya manunuzi,hakikisha unaingiza tarakimu zifuatazo KQHB330TC3I kwenye kibox cha Coupon Code,kisha bonyeza GO.
Karibuni,

kivuko.com



Angalizo:kuponi hii itatumika katika kipindi cha sikukuu tu,tafadhali itumie kabla ya nov 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…