KERO Kivuko eneo la Busisi na Kigongo ferry hakifanyi kazi 24hrs

KERO Kivuko eneo la Busisi na Kigongo ferry hakifanyi kazi 24hrs

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,458
Reaction score
4,283
Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina puuzwa au ipoje wakuu?

Watu wanawahi katika uzalishaji sasa wanakalishwa hapa je ingekuwa kivuko binafsi na hi nyomi si mwekezaji angejipatia fedha za kutosha?:Sasa Serikali inakosa mapato.

Kuna kimoja cha MV Mwanza nacho kinafanya kazi lakini kinatoa moshi mwingi na kikienda raundi moja, kurudi kinachukua muda mrefu.

Ufafanuzi wa Mkuu wa Wilaya, soma hapa ~ DC Sengerema afafanua taarifa ya kivuko kimoja kusimama kutoa huduma Kigongo - Busisi

Soma Pia: Busisi - Kigongo kivuko kimoja ndicho kinafanya kazi na kupelekea usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa huduma hiyo

IMG_20240830_051723_068.jpg
IMG_20240830_052959_234.jpg


IMG_20240830_052627_003.jpg
 
Wananchi wanyonge wanahangaishwa tu utafikiri wakimbizi
 
Back
Top Bottom