Walad Amin
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 287
- 87
Ni tofauti ila tuko jirani.karibu sanaHiyo ni tofauti na hiyo ya Lutheran ndani?
Hana risit huyo ya efd.... Bado yupo jk timeNi pamoja na VAT? Unatoa risiti kama alivyoagiza Mh. Rais? kila pato ni lazima lilipiwe kodi
Umetaja kwa Urassa nikakumbuka mambo yetu yaleeeeeeTRA kazi kwenu na ofisi zenu zipo jirani na hapo sio kutwa mna hangaika na wafanyabiashara wadogo wa Tuamoyo na kwa Urasa ambapo hawaingizi hata faida ya shilingi 2000 kwa siku!
Hapa kazi tuu!Ni pamoja na VAT? Unatoa risiti kama alivyoagiza Mh. Rais? kila pato ni lazima lilipiwe kodi
Kwa dada zetu au?Umetaja kwa Urassa nikakumbuka mambo yetu yaleeeeee
Wana JF na wakazi wa Kigamboni, kiribuni sana katika yadi ya maegesho iliopo ferry karibu sana na kanisa la Lutheran.
Kwa wale wanaojali muda wao wa kazi na wasiopendelea kukaa foleni ya kivuko karibuni sana.
Usafiri wako utakuwa katika usalama na usafi muda wote, tuna nidham nzuri ya upangiliaji kuepuka msongamano na usumbufu wa muda wako.
Gharama zetu za maegesho ni kama ifuatavyo kwa
- siku 1,500/= (day)
2,000/= (night)
Na tunao wanachama wanaolipia kwa mwezi.
Huduma zetu ni zaidi ya parking.
Kwa mawasiliano zaidi tu PM au
Contact: 0674592861