Kwa mda mrefu mjadala wa katiba mpya umekuwa ukitumia pesa nyingi lakini masilahi ya vyama badala ya utaifa kwanza umekuwa kikwazo kupata katiba mpya.
Yupo mzalendo Warioba ambaye akiongezewa wajumbe 19 nayeye wawe 20 tutapata katiba mpya isiyo na mvutano. Kwanza tutakuwa tumeokoa fedha nyingi sana.
Kelele ni nyingi zisizojenga, hii katiba 1977 sidhani kama walitunga watu wengi kama ambavyo tunavutana.
WARIOBA ANATOSHA KUTULETEA RASIMU NAKUIPIGIA KURA, achana na bunge la katiba walishatuliza.