Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa mashindano hayo atapata mil 20 wa pili mil 10 na watatu atapata mil 5, man of the match, mashabiki Bora, kipa Bora, mshambuliaji Bora, kiungo Bora, beki Bora wote watapata laki 5.
Mfano ukiwa man of the match Mara tano inamaana utapata mil 2.5 teyali utapata mtaji wa biashara.Lakini pia Wasafi wamesema wakipatikana vijana wenye umri chini miaka 18 wenye vipaji vikubwa watawatafutia team za nje ya nchi kwa majaribio.
Wazo la kuanzisha haya mashindano yalitoka wapi? Wakati diamond amekutana na etoo, e'too alimshauri diamond afungue accademy sports kwa ajili ya vijana diamond akaona aje na hiki kitu cos kitasaidia vijana kupata kipato at the same time watapata exposure cos hiyo michuano itarushwa live pia kutokana na yeye kuwa na connection pamoja na watu Kama edo kumwembe, maulidi kitengo na marafiki zake wa karibu watapata baadhi ya vijana fursa ya kuwatafutia team za nje za kuchezea.
Na siku ya Leo ndo Kuna draw ya kupanga team kwenye makundi baada ya kapatikana team 32 wanazotaka Wasafi kwenye hii michuano na itarushwa live WASAFI TV.