Me mwenyewe nimeshangaa msela hiyo ndio platform wa vijana kuonekana na kupata kipato we fikiria wasafi wametoa fursa atakwawanaoibuka man of the match, wamesema ataeibuka man of the match atapata laki 5 hapo ujazungumzia beki Bora, kiungo Bora, mchambuliaji Bora,kipa bora.kwa maana Hiyo wametoa fursa pana kupata mpunga Mfano ukiibuka man of the match Mara 2 tu unapata mil 1 hiyo ni hela kubwa Sana.