Plot4Sale Kiwaja cha Mita 14x8 Kinauzwa, Chanika - D'Salaam

Plot4Sale Kiwaja cha Mita 14x8 Kinauzwa, Chanika - D'Salaam

makohnstruct

Member
Joined
May 8, 2015
Posts
28
Reaction score
7
9b0f3f9f8023e628d10f8d0cdff14e8c.jpg

Bestates Properties
Call/Whatsapp: 0786157788

kinauzwa • TSh milioni 2.2 • Chanika Nyeburu B • kilomita 1 baada ya Zahanati ya Buyuni na kilomita 2 kutoka barabara kuu ya lami

ina nyaraka toka serikali ya mtaa • umeme nguzo 2

Pia tunapatikana,
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
 
duuh 14×8,,panatosha kweli kujenga nyumba kweli hata ya vyumba 3
 
hicho kiwanja au uchochoro...madalali mnaboa kwa tamaa zenu
 
Tusikimbilie kusemea nyumba ya vyumba vitatu. Kuna watu wanahitaji ya vyumba 2 pia.
Atakaye hitaji viwanja vikubwa, tuwasiliane, atapata.
 
Back
Top Bottom