M makohnstruct Member Joined May 8, 2015 Posts 28 Reaction score 7 Dec 14, 2016 #1 Bestates Properties Call/Whatsapp: 0786157788 kinauzwa • TSh milioni 2.2 • Chanika Nyeburu B • kilomita 1 baada ya Zahanati ya Buyuni na kilomita 2 kutoka barabara kuu ya lami ina nyaraka toka serikali ya mtaa • umeme nguzo 2 Pia tunapatikana, Facebook @BestatesTanzania Instagram @bestates_tanzania
Bestates Properties Call/Whatsapp: 0786157788 kinauzwa • TSh milioni 2.2 • Chanika Nyeburu B • kilomita 1 baada ya Zahanati ya Buyuni na kilomita 2 kutoka barabara kuu ya lami ina nyaraka toka serikali ya mtaa • umeme nguzo 2 Pia tunapatikana, Facebook @BestatesTanzania Instagram @bestates_tanzania
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 280 Dec 14, 2016 #2 duuh 14×8,,panatosha kweli kujenga nyumba kweli hata ya vyumba 3
F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,855 Reaction score 1,283 Dec 14, 2016 #3 hicho kiwanja au uchochoro...madalali mnaboa kwa tamaa zenu
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Dec 14, 2016 #4 Kwetu sisi hapo unajenga choo tu,bado nyumba
K Kirokolo JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 281 Reaction score 214 Dec 14, 2016 #5 Hicho kiwanja au barabara?
M makohnstruct Member Joined May 8, 2015 Posts 28 Reaction score 7 Dec 14, 2016 Thread starter #6 Tusikimbilie kusemea nyumba ya vyumba vitatu. Kuna watu wanahitaji ya vyumba 2 pia. Atakaye hitaji viwanja vikubwa, tuwasiliane, atapata.
Tusikimbilie kusemea nyumba ya vyumba vitatu. Kuna watu wanahitaji ya vyumba 2 pia. Atakaye hitaji viwanja vikubwa, tuwasiliane, atapata.