Kiwanda cha maziwa kilichokuwa kinamilikiwa na serikali mkoani Arusha na baadae kuchukuliwa na Brookside company ya Kenya kwamkataba wakukiendeleza nimoja yakiwanda ambacho Brookside walishindwa ukiendeleza kwa kuiba mitambo yauzalishaji iliokuwa na uwezo waku kausha maziwa nakuipekeka nchini Kenya. Leo muheshimiwa Magufuli katoa tamko kuwa wawekezaji wote waliochukua viwanda vya serikali wanyanganywe nakupewa wawekezaji wengine watakao weza kuviendeleza. Waziri Mwijage kasema kama kuna muwekezaji alitoa mitambo ailudishe kwani walishaandikiwa barua yakuludisha mitambo viwandani kabla yakuchukuliwa sheria ..Jumla ya viwanda vilivyo chukuliwa na wawekezaji nakushindwa kuendelezwa Tanzania nzima ni 157. Ahsante Magufuli kwa serikali ya viwanda. Tunaomba Brookside mludishie mitambo