baraka3
Senior Member
- Aug 10, 2014
- 108
- 72
Habari wakuu, jana majira ya mchana nilipita maenea ya njiro palipo na kiwanda kilichowahi kujulikana kwa jina la general tyre...
Nilichokuona sikukielewa, kulikuwa na harufu kali kama ya kuchoma matairi na Moshi uliliwa unatokea humo kiwandani.....
Sasa sijui kimefufuliwa au vp?
Mwenye info karibu sana
Nilichokuona sikukielewa, kulikuwa na harufu kali kama ya kuchoma matairi na Moshi uliliwa unatokea humo kiwandani.....
Sasa sijui kimefufuliwa au vp?
Mwenye info karibu sana