Kiwanda cha General tyre

baraka3

Senior Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
108
Reaction score
72
Habari wakuu, jana majira ya mchana nilipita maenea ya njiro palipo na kiwanda kilichowahi kujulikana kwa jina la general tyre...
Nilichokuona sikukielewa, kulikuwa na harufu kali kama ya kuchoma matairi na Moshi uliliwa unatokea humo kiwandani.....
Sasa sijui kimefufuliwa au vp?
Mwenye info karibu sana
 
Mkuu embu pitia tena...mwaka juzi nilisikia tetes kitafunguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…