Kiwanda cha kuassemble magari Tanzania...kitarudi kweli?


Jamani mbona mna lugha kali hivi duh
 
Utaambiwa uranium tuliyonayo haifai kwa matumizi ya yoyote kwamaana kwaliti ni ndogo ( refer Machungwa ya Tanga). Chuma cha liganga hakifai kwa matumizi ya viwanda kwamaana kinateleza sana, makaa ya mawe ya mchuchuma hayafai kwa umeme kwamaana ni meusi sana( yataleta giza yakichomwa). Gesi ya songosongo haifai kwa matumizi ya nyumbani kwa maana inanuka sana.
 
Tuwe wakweli tutaweza kutengeneza gari ambayo inaweza kushindana na haya tunayoagiza kutoka nje?
Katika bei na katika ubora? Toyota inatumia Dolla milioni moja KWA SAA!!
Kwa ajili ya Research & Development, je serikali yetu hata ikitumia 10% ya hiyo hatutalalamika humu kuwa wanapoteza hela ambayo ingiweza kutumika vizuri zaidi?

Biashara ya kutengeneza magari ni ngumu sana, waangalie wamarekani kampuni karibia zote zilibidi ziokolewe na serikali la sivyo zingefilisika.
 
Gari zisizo weza pandisha mlima nani atanunua? jibu ni easy lazima kife
 
Magari mmeenda mbali sana mmeshindwa kutengeneza hata mashine nyepesi kama majembe, matoroli, koreo baadala yake mnaenda nje kuita wawekezaji wahovyo na Mikataba ya hovyo. Yaani wabongo mpompo tu na viongozi wenu Wenye uwezo mdogo kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…