Kiwanda cha kuchakata kuku

MoSantu

Senior Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
173
Reaction score
167
Habari zenu wana JF?

Naomba mwenye muongozo au ufahamu wa kiwanda cha kuchakata kuku au sehemu kilipo kwa hapa Tz angalau nikapate Elimu ya uendeshaji, Bei za mashine na soko.

NB: Kuku ninao zungumzia ni kisasa (Broiler)
 
Jaribu kwa Mr.kuku mkuu utapata pa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…