Kiwanda cha kusafisha Petroli Kigamboni

Kiwanda cha kusafisha Petroli Kigamboni

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Hivi tuna mkakati wowote wa kufufua kiwanda cha kusafisha mafuta Kigamboni au Pengine kujenga kingine Kipya kule bandari yaTanga

Ili kiende sambamba na Ukamilishaji wa Mradi mkubwa wa Bomba la mafuta ghafi kutokea Uganda
Nauliza tu isijekuwa tuna subiri mafuta yapite hapa kwetu yaende Arabuni yakasafishwe halafu tuuziwe kwa bei karibia mara mbili

Naona kama hii ni zawadi kutoka kwa Mungu kwani kiwanda cha kusafisha mafuta ni cha gharama ya kawaida sana kulinganisha na viwanda vingine LABDA makadirio yaletwe kwa lengo la kupiga deal.

Wale waliosoma Chemistry vizuri watanielewa kuwa kusafisha mafuta ni process rahisi sana ni umaskini tu, tulitakiwa tungeneze kiwanda chetu wenyewe
 
Yani total achimbe mafuta uganda asafirishe km 1000 wewe uje usafishe??

sahau hiyo biashara. Sisi tutaendelea kununua finnished products
 
Back
Top Bottom