Kiwanda cha kusaga na kukoboa Mahidi kilichopo Mbezi Louis DSM kinakodishwa

Kiwanda cha kusaga na kukoboa Mahidi kilichopo Mbezi Louis DSM kinakodishwa

beko

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
189
Reaction score
91
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.

Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya 300. Miundo mbinu mingine ni umeme wa 3 phase, water tank lita 20,000, office ya mauzo, na office ya meneja pamoja na, nyumba ya kulala wafanyakazi.

Jengo lina kibali cha TFDA na pia leseni stahiki zipo tayari.

Kama unahitaji, tuwasiliane kwa kupitia 0714432979
 
Mkuu weka picha na pia toa condition ya kukodisha hapo. Kodi ni sh ngapi?

Kwanini wewe umeweka miundombinu yote hiyo halafu unakodisha?
Nini shida

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kila la heri mkuu. Wenye nia ya kukodi na kuendeleza uzalishaji, watakutafuta tu hata kama utatia ngumu kuweka picha za eneo husika.

Na ningependa pia kukutetea! Kuanzisha biashara/kiwanda ni kitu kimoja, na kuisimamia ili ilete tija na mafanikio, ni kitu kingine.
 
Kwa mkodishaji kitalipa sana kama atapata soko la nje la kuuza unga? Kwa soko la ndani mtaishia kukimbizana na mwenye nacho.
 
Kila la heri mkuu. Wenye nia ya kukodi na kuendeleza uzalishaji, watakutafuta tu hata kama utatia ngumu kuweka picha za eneo husika.

Na ningependa pia kukutetea! Kuanzisha biashara/kiwanda ni kitu kimoja, na kuisimamia ili ilete tija na mafanikio, ni kitu kingine.
Nimependa sana comment yako. BIG UP
 
Attachments

Serikali ya Samia ni wakati muafaka sasa kuirudisha TFDA maana TBS imeshindwa kusimamia masuala mazima ya ukaguzi na udhibiti wa ubora wa chakula na vipodozi nchini.

Hivyo kuhatarisha afya za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom