wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
Maji na Juice hauwezi kupata kibali kwa urahisi hasa kama soko lako unaanzia Dar,TFDA tbs etc watahakikisha vigezo vyote na vya ziada unatekeleza.kuna Azam,Dasani,Sayona watahakikisha soko la Dar haliongezewi ushindani,na soko la Dar ndio soko kubwa na muhimu ktk biashara hiyoKwanini Lady Jaydee alizimwa biashara hyo? Ebu wasiliana naye Facebook akupe chanzo ili uweze kujua maana hawa TFDA washawekwa mifukoni..
Kwanini Lady Jaydee alizimwa biashara hyo? Ebu wasiliana naye Facebook akupe chanzo ili uweze kujua maana hawa TFDA washawekwa mifukoni..
Hongera mkuu, hata na idea hiyo. Niko kwenye kufanya utafiti na kuandaa business plan.tunaweza share some issues.kuhusu vibali nenda TFDA watakupa guidelines yao inauzwa elfu tano na map ya kiwanda watakupa na fomu pia.kisha ukienda TBS omba kuingia libary wakuprintie document ya juice kwa matunda unayotaka na catalogy ya maji.pia kingine ni Brela ukasajili jina na kampuni na TRA for TIN.Wakuu, nimefanya intensive research kuhusu kiwanda ya kutengeneza maji ya kopo na kusindika Juice. Nimeshaandika business proposal na nimeshafanya simulation kwenye mambo ya finance.
Sasa nataka kujua guideline (muongozo) wa kupata vibali vyote muhimu. Kama kuna mtu anafahamu muongozo huo tafadhali nitumie msg.
Kama kuna mtu anataka kujua gharama za kuanzisha kiwanda, nini kinaitajika uliza tuu.
lady jaydee hakuwa na kiwanda cha maji bali kuna kampun ilikuwa inatumia jina la lady jaydee kwenye maji na walimlipa kutumia jina lake
Wakuu, nimefanya intensive research kuhusu kiwanda ya kutengeneza maji ya kopo na kusindika Juice. Nimeshaandika business proposal na nimeshafanya simulation kwenye mambo ya finance.
Sasa nataka kujua guideline (muongozo) wa kupata vibali vyote muhimu. Kama kuna mtu anafahamu muongozo huo tafadhali nitumie msg.
Kama kuna mtu anataka kujua gharama za kuanzisha kiwanda, nini kinaitajika uliza tuu.
Maji na Juice hauwezi kupata kibali kwa urahisi hasa kama soko lako unaanzia Dar,TFDA tbs etc watahakikisha vigezo vyote na vya ziada unatekeleza.kuna Azam,Dasani,Sayona watahakikisha soko la Dar haliongezewi ushindani,na soko la Dar ndio soko kubwa na muhimu ktk biashara hiyo
Unafikiria kufungua kiwanda hikisehemu gani?