Kiwanda cha magari kufunguliwa Tanzania!

Kiwanda cha magari kufunguliwa Tanzania!

G12

Senior Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
156
Reaction score
51
Wadau wa JF!

G12 kama kawaida yetu tunakuja na habari za ukweli kila siku.

Tangazo:-
Tunatatengeneza magari aina ya Pickup SUV,Tricycle,Mini moke,VAN(Mini bus), n.k. Tunatafuta watu katika nchi zinazoendelea ili tuweze ku saini nao mkataba wa ushirikiano, tuanzishe Automobile Assembly Plant Project katika nchi husika.

Pia, tunatafuta distributors au retailers katika nchi zinazoendelea ili aweze kuuza mzigo wa magari tuliokwisha na tutakayotengeneza.

Tangazo hili liko abstract sana, lakini ikiwa una interest, tafadhali tuandikie kupitia info@g12.hk kwa maelezo zaidi.
Ukipata tangazo hili mtaarifu na mwezio.
 
K sir thanx for the information

Pamoja mkuu!

Deal ndio hizi, watu wako tayari kuwekeza na kutoa ajira za uhakika kwa vijana wetu.

Nashauri vijana wenzangu mnaonza degree za kwanza mje China, Germany, na kwingine kuchukua degree za automobile.

G12 International Co. Ltd
 
Nina mkufunzi wa It kutoka Uk kwa sasa yupo China vip mnaweza kumtumia?
 
Huu mpango bado upo, G12?
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo kiwanda kinatoa Tangazo kama la sales representative
 
Back
Top Bottom