KERO Kiwanda cha Maji na Juisi na kiwanda cha Kuku vilivyopo karibu na makazi ya watu Visiga Kibaha vinasababisha uchafuzi wa mazingira

KERO Kiwanda cha Maji na Juisi na kiwanda cha Kuku vilivyopo karibu na makazi ya watu Visiga Kibaha vinasababisha uchafuzi wa mazingira

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

debbrah

New Member
Joined
Oct 15, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Jamani hili jambo limeniuma sana, kuna viwanda viwili vipo sehemu moja, kiwanda cha maji na juice na kiwanda cha kuku vipo Kibaha Visiga karibu na makazi ya binadamu vimekuwa vikisababisha kero kwa wakazi maana nzi ni wengi

Wizara husika ina maana hawalioni hili?
 
Back
Top Bottom