Malthiersz
Member
- May 2, 2017
- 9
- 8
Ahsante. Vinaitwaje labda?Mm navyojua ni vya wachina pale keko
Jina mtihani ila palepale sophia house wana yard naona ukiuliza hata bodaboda pale anakuoneshaAhsante. Vinaitwaje labda?
Shukrani sanaJina mtihani ila palepale sophia house wana yard naona ukiuliza hata bodaboda pale anakuonesha
Nashukuru sanaKipo Moshi, pure leather. Wanaitwa Shah Leather Industries. Siwezi kukupa ramani ya kueleweka lakini ukiulizia Moshi mjini utaelekezwa.