Kiwanda cha Nyumbu

Kiwanda cha Nyumbu

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
420
huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah
 
Funguka wengine tumezaliwa miaka ya tisini mwishoni!
 
huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah

Kile kiwanda primary objective ni kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya jeshi, so far sidhani kama kina mpango wa large scale and assembly lines, labda wafanye review ya theme nzima ya 'Nyumbu'.
 
Back
Top Bottom