Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 420 Nov 27, 2012 #1 huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah
huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Nov 27, 2012 #2 pono said: huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah Click to expand... Funguka wengine tumezaliwa miaka ya tisini mwishoni!
pono said: huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah Click to expand... Funguka wengine tumezaliwa miaka ya tisini mwishoni!
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 852 Nov 27, 2012 #3 pono said: huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah Click to expand... Kile kiwanda primary objective ni kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya jeshi, so far sidhani kama kina mpango wa large scale and assembly lines, labda wafanye review ya theme nzima ya 'Nyumbu'.
pono said: huki kiwanda cha kutengeneza magari ya nyumbu mbona haki advance??tumechoka magari ya mitumba bahan,kila siku spana mkononi,ah Click to expand... Kile kiwanda primary objective ni kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya jeshi, so far sidhani kama kina mpango wa large scale and assembly lines, labda wafanye review ya theme nzima ya 'Nyumbu'.