MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Kumekuwa na tetesi toka mwaka jana kwamba kiwanda kufungwa kufuatia kiwanda kujiendesha kwa hasara, sasa jana MD kutoka Panasonic japan kawatangazia wafanyakazi rasmi kuwa tarehe 9/2/2018 kiwanda kitafungwa rasmi na kufikia mwezi wa tatu wafanyakazi wote watakuwa wameshalipwa stahiki zao, kutokana na kiwanda kupata hasara walipunguza wafanyakazi hadi kufikia 200+, je hii hali ya viwanda kufa ni afya kwa uchumi wetu?,