MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Wanatengeneza vitu imala sana ukishanunua haurudi tena ndo maana kinakufa wawe kama wachina ukinunua leo kesho unarudi tenaPanasonic super brand, nina redio yao hapa hata sielewi itaharibika lini....
Uzi uko shallow, ujazie nyamaKumekuwa na tetesi toka mwaka jana kwamba kiwanda kufungwa kufuatia kiwanda kujiendesha kwa hasara, sasa jana MD kutoka Panasonic japan kawatangazia wafanyakazi rasmi kuwa tarehe 9/2/2018 kiwanda kitafungwa rasmi na kufikia mwezi wa tatu wafanyakazi wote watakuwa wameshalipwa stahiki zao, kutokana na kiwanda kupata hasara walipunguza wafanyakazi hadi kufikia 200+, je hii hali ya viwanda kufa ni afya kwa uchumi wetu?,
Ninayo hata Mimi tangu mwaka 1990 hivi sasa imeingua CPU yakePanasonic super brand, nina redio yao hapa hata sielewi itaharibika lini....
Ninayo hata Mimi tangu mwaka 1990 hivi sasa imeingua CPU yakePanasonic super brand, nina redio yao hapa hata sielewi itaharibika lini....
Hahaha viwanda vya ukweli vinakufa,vinabaki viwanda vya kisiasa,ni kweli hatuna mahitaji ya betri?,kwanini wasifungue kiwanda kingine?,kuna shida awamu hiiKumekuwa na tetesi toka mwaka jana kwamba kiwanda kufungwa kufuatia kiwanda kujiendesha kwa hasara, sasa jana MD kutoka Panasonic japan kawatangazia wafanyakazi rasmi kuwa tarehe 9/2/2018 kiwanda kitafungwa rasmi na kufikia mwezi wa tatu wafanyakazi wote watakuwa wameshalipwa stahiki zao, kutokana na kiwanda kupata hasara walipunguza wafanyakazi hadi kufikia 200+, je hii hali ya viwanda kufa ni afya kwa uchumi wetu?,
Ndo watengenezaji wa simu za philipsHata Phillips ya Arusha nadhani imekufa pia.
Philips Arusha walikuwa wanzalisha nn?Hata Phillips ya Arusha nadhani imekufa pia.
Ilikuwa inaitwa National iyo dah roho ya paka baadaye Panasonic ikainunua, utadhani mjerumani. Halafu mchina alivyomshenzi akawa anatukonfyz Na Panasoanic.Panasonic super brand, nina redio yao hapa hata sielewi itaharibika lini....