Tetesi: Kiwanda cha Panasonic kufungwa kutokana na kujiendesha kwa hasara

tunashindwa kulinda viwanda vyetu tunaruhusu betri hafifu ziingie toka nje matokeo tunapoteza ajira na kodi ambazo serikali wangepata
 
Wanatengeneza vitu imala sana ukishanunua haurudi tena ndo maana kinakufa wawe kama wachina ukinunua leo kesho unarudi tena

Ndiyo maana serikali imeruhusu tiger betri unanunua leo kesho halina chaji na limevujia ndani
 
Nadhani kwa hapa wamebaki kutengeneza battery tu lazima kiwanda kipate hasara sababu matumizi yenyewe ya battery yameshuka sn
 
Ni wapumbavu. Menejiment ni ya kishenzi.
Wangetskiwa wakiongeze na wabailike
Watengeneze hata taa za kuchaji etc.
Sasa wao wapo tu wanatengeneza mibetri hadi pleo hii shwaini

Mkuu hizo hizo betri serikali ulikuwa inaingiza kodi, sasa kikifa dawa katika hospitali ya mloganzila zitatoka wapi?
 
Tunawaza kwenda serikali ya viwanda, kuna vingine vinakufa tutafikaje sasa huko kwenye viwanda vingi
 
Daaah habari mbaya sana hizi. Ukisikia marehemu nnamdai....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…