mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Nijambo la kusikitisha sana kuona kiwanda cha mzalendo kilichojizolea sifa kemikemi kufanya hujuma na kufanya unyanyasaji wa wafanyakazi kwa kiwango chajuu.
Mpaka sasa hakuna mfanyakazi anaijua kesho yake maana mwenye kiwanda anakuwa kana ana kichaa. Hadi kuna wakati anamfukuza hadi mke wake ambaye ni meneja wa kiwanda.
Menejiment ya kiwanda haipo kabisa, anayeonekana anaweza kucheza na umbea na majungu ndiye uwa boss wa wote kwa muda fulani. Kwa mwezi ashafukuza wafanyakazi 15 bila kuwalipa.
Wafanyakazi hawana muda wa kazi wala kulipwa masaa ya nyongeza. Wakati mwingine kama kuna order kubwa ulala kazini bila ya posho.
Serikali inayohusika itupie jicho kiwanda hiki, au boss achunguzwe kama ana ukichaa au magonjwa mtambuka basi hii ishakuwa taasisis watafute namna ya kuendesha kiwanda katika mutaza sahihi.
Kosa linafanyika maabara, mtu anafukuza hadi mlinzi. Masai mlinzi anashindwa kuwasha generator kesho hana kazi wakati kosa sio lake.
Kingine wachunguze orodha za wafanyakazi waliofukuzwa kama wanapata stahiki zao. Wachunguze kufanyosha kazi ngumu vibarua wanaotakiwa kuajiliwa kukaa muda mrefu wakiwa kwenye majaribio.