Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Habarini wana nzengo,
Katika kihangaika kutaka kujiongezea kipato nimejaribu kufanya utafiti usio rasm mdogo tu nikaonelea biashara mbili zinaweza kunitoa point nilipo kunisogeza kidogo. Moja ambayo haina mtaji mkubwa ni kiwanda kodogo cha sabuni zam mche.
Utafiti nliofanya ni kuwa zilizopo madukani zimecchakachuliwa sana ubora wake wa chini mno kulingana na maelezo ya mtaalam mwalimu wa chuo ya maswala ya lab.
Akaniambia still unaeza kutengeneza ambazo ni standard na ukapata faida ya kati ya 1500 na 2000 kwa mche. Nikaona ni bonge la faida tuseme 1500 ambapo kama nitakuwa na uwezo kuzalisha miche 100 kwa siku kwa kuanzia naweza kuwa na return nzuri. Hii mtaji haizidi 2 milions shida ni hawa ndugu zetu tfda ila nitapambana hivohico.
Nimeleta huku nijaribu kupata mtu ambaye anaweza kunipa mchanganuo wa kuzalisha mche mmoja ni sh ngapi sabuni ambayo ni international standard.