Kiwanda cha sabuni

Elly official

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
730
Reaction score
989
Habarini wana nzengo,

Katika kihangaika kutaka kujiongezea kipato nimejaribu kufanya utafiti usio rasm mdogo tu nikaonelea biashara mbili zinaweza kunitoa point nilipo kunisogeza kidogo. Moja ambayo haina mtaji mkubwa ni kiwanda kodogo cha sabuni zam mche.

Utafiti nliofanya ni kuwa zilizopo madukani zimecchakachuliwa sana ubora wake wa chini mno kulingana na maelezo ya mtaalam mwalimu wa chuo ya maswala ya lab.

Akaniambia still unaeza kutengeneza ambazo ni standard na ukapata faida ya kati ya 1500 na 2000 kwa mche. Nikaona ni bonge la faida tuseme 1500 ambapo kama nitakuwa na uwezo kuzalisha miche 100 kwa siku kwa kuanzia naweza kuwa na return nzuri. Hii mtaji haizidi 2 milions shida ni hawa ndugu zetu tfda ila nitapambana hivohico.

Nimeleta huku nijaribu kupata mtu ambaye anaweza kunipa mchanganuo wa kuzalisha mche mmoja ni sh ngapi sabuni ambayo ni international standard.
 
Mh! Mkuu mbona km sijakuelewa hv, umewezaje kujua faida ya mche (1500 - 2000)
Pasipo kujua gharama ya uzalishaj kwa mche? Huyo lab specialist uliyoongea nae ndo mzr kumtumia ili akusaidie details za gharama wa mradi!.
 
Nishazijua nataka kufanya comparison
 
ebu
mtafute jamaa moja Twitter anaitwa MPAMBAZI atakupa elimu na yeye anafanya inshu za sabuni
 
Kama mtaji ni 2 million initial investment ni kiasi gani?
 
Mche dukani ni 2500 hadi 3500.. sasa wewe unasema mche mmoja upate faida ya 2500.... Unataka kusema hutumii garama yoyote kwenye kuzalisha na wewe ndio utakuwa supplier kwa wateja majumbani.. ??

Au hyo miche unaiokota ??
 
Kama mtaji ni 2 million initial investment ni kiasi gani?
Kila kitu hunohumo maana mtaji ni chemicals ambazo hazizizidi 1.2 mil then kuna mapipa ya plastic, miiko ya kukorogea, moulds na vifaa vya kukatia miche, vifungashio done
 
Mche dukani ni 2500 hadi 3500.. sasa wewe unasema mche mmoja upate faida ya 2500.... Unataka kusema hutumii garama yoyote kwenye kuzalisha na wewe ndio utakuwa supplier kwa wateja majumbani.. ??

Au hyo miche unaiokota ??
Huku sisi mche ni 4000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…