Mimi nimetoboa kwa viwango vya Tanzania.Ebu nawe fanya hiyo janja janja tuone kama utatoboa
Labda hakijaanza uzalishaji na anataka aingie sokoni mapema.Kuna mdau anadai ana kiwanda Tanga ,ila sukari yake ni distributed na sio manufactured sijui imekaaje hapo labda tumsikie
Nita disclose taarifa zangu na mimi ni mtu mdogo sanaaa.Nimekupata umejuaje ni cha MeLT group?
Ila sio manufacture ni packed and distributed by Muhammed interprises Tanzania limitedNita disclose taarifa zangu na mimi ni mtu mdogo sanaaa.
Ila Mo haagizi sukari nje, ndio maana sukari yako haiko kila mahali ila anatufaa sana sisi masikini sukari nyingi bei rahisi
Kipo pale siku nyingi sanaaa, alafu kingine Mo ni mnunuzi wa miwa kutoka kwa wakulima nawaongezea tuLabda hakijaanza uzalishaji na anataka aingie sokoni mapema.
Kwenye hili sifahamu sana, ila ni mnunuzi mkubwa sana wa miwa ya wakulimaIla sio manufacture ni packed and distributed by Muhammed interprises Tanzania limited
Oooh sawa , mfano pale mtibwa na kagera( misenyi) zipo kampuni binafsi zinazouzia muwa kiwanda , zipo kampuni binafsi zinauvuna muwa wa mtibwa kwa kuajiri vijana nakupata kamisheni zao , magari na vifaa vyote ni vyao , wapo watu binafsi pia wanauza muwa moja kwa moja kiwandani , pia zipo kampuni binafsi zinanunua muwa kwa wakulima kwa bei ya chini na kuuzia kiwanda.Kwenye hili sifahamu sana, ila ni mnunuzi mkubwa sana wa miwa ya wakulima
Kabisa, eti MO janja janja, halafu lijamaa lina biashara mamia, mswahili anamjadili tajiri🤣🤣🤣Nimegundua mi watu mingi ni mizwazwa inaendeshwa na hisia za Uyanga...
Yanayo msema hayana hata brand name ya biashara yoyote...yani maskini bana sijui tukoje yani...tena ukute maskini halafu bichwa limejaa utimu utamdharau mpaka GSM...yani mtu amekuzidi maili 200...yani hawana hata ABC za biashara wanamponda mfanyabiashara alieanza hata yy hajazaliwa...Kabisa, eti MO janja janja, halafu lijamaa lina biashara mamia, mswahili anamjadili tajiri🤣🤣🤣
Nilitaka kuandika kitu nikafuta. Nisije kumletea Melo matatizo.Hapo nimekusoma masta. Kwahiyo ni Kilombero Sugar hii.
Hao TBS kazi yake ni nini? Au wanampitishia yy bidhaa zake ili aje aue watu au?Mi binafsi huwa naziogopa bidhaa za chakula za MO. Huwa siamini kama anafanya utafiti wa kutosha kuhusu bidhaa kabla hajaanza kuizalisha. Haiwezekani wenzie wakianzisha bidhaa baada ya siku kadhaa naye unakuta anaanzisha bidhaa ya aina ile ile anachobadili ni jina tu kidogo na quantity.
Kama haagizi nje yeye, kiwanda chake Kiko wapi hapa Tanzania?Hapana haagizi nje ndio maana sukari yake ni bei rahisi ikiwa supermarkets ila hizo zenu ni ghali sana.
Vingine viwapite tu