Kiwanda cha Uji - Tanzania

Kiwanda cha Uji - Tanzania

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari za muda huu walipa kodi wa wakati wote !

Naomba kutoa wazo moja tu. Hivi hii nchi hatuwezi kuwavutia wawekezaji katika nchi yetu hususani maeneo ya Majiji mfano; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam, Tanga na Mbeya. Mtuletee Viwanda vya Uji sio unga lishe wa uji hapana.

Bidhaa hizo ziwe kwenye muundo wa aina mbili tu;
1. Uji powder
2. Uji liquid

Yaani ukiweka kwa jiko dakika chache kitu hiking hapa. Pia waweke na ladha mbalimbali mfano; Ndizi, Kokoa, Nazi, Karanga, Maziwa nk

Jamani mtuletee mavyakula ya viwanda watanzania sisi. Sio tuangaike kutafuta pesa; mpaka kupika tuhangaike jamani.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom