Kiwanda changu kidogo, naweza kupata mkopo?

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
471
Reaction score
197
Habari wa jamii forum mimi ni mjasiliamali na pia na weza sema ni mpambanaji kwani nilitokakea kuajiliwa hadi kufungua kiwanda kidogo.
Kiwanda changu kinajihusha na uzalishaji wa viatu vya kimasai
Hivyo ni viatu ambavyo nimevitengeneza mimi mwenyewe na kwa mikono yangu.
KIWANDA CHANGU BADO SIJAPATA LESENI ILA NINAMPANGO HUO NIMEFANIKIWA KUAJILI MTU AMBAE MPAKA SASA NAWEZA SEMA ANAKALIBIA KUWA FUNDI.
KIWANDA KINA MWAKA NA MIEZI 3 VIFAA VYOTE NINAVYO NA NIVYANGU MWENYEWE . PIA NINA OFISI YANGU BINAFSI NA IPO DAR.
CHANGAMOTO AMBAYO NAKUTANA NAYO NI PALE AMBAPO MZIGO UNAHITAJIKA KWA WAKATI MMOJA SEHEM TOFAUTI MTAJI WANGU UMEKUA ILA KULINGANA NA SOKO LANGU KUKUA KWA KASI MTAJI UNAKUA MDOGO HASA PALE MZIGO UNAPO HITAJIKA MWINGI .
NAHITAJI MKOPO WA SHILINGI MILIONI MOJA UHAKIKA WA KURUDISHA UPO.
SIHITAJI PARTNER KWANI NIMESHA FIKA MBALI SANA.
Mawasiliano; 0688501810
 
Umeonesha products tu mbona ebu tupia tuone kiwanda
 
Mkuu unasema huhitaji partner kwani umeishafika mbali

Usidanganyike na hilo kwani biashara haiendi hivyo
Usingeongeza hilo neno 'umefika mbali'
Ningekuelewa vizuri kwani kumbuka hata makampuni yenye miaka 100 bado yanatafuta waendelezaji na wa kununua share zao

Hongera kwa kazi lakini
 
nami nasubiri kukiona kiwanda cha mmiliki na muanzilishi wa kiwanda husika...
Msha ambiwa ukiwa na vyerehani viwili au vitatu, tayari hicho nikiwanda. Na ameajiri mtu, anataka aajiri watu sasa
 
Mkuu ukihitaji patner wengi tutajitokeza may be tuendeleze kiwanda but unaposema umefika mbali wakati hata milion moja inakuwa shida m sikuelew
Tatizo la partner wengi wanashindwa kuheshimu ujuzi wamtu yeye pamoja na kuto kujua chochote yeye ndio anataka amiliki ofisi wakati ofisi ni ya share
 
Tatizo la partner wengi wanashindwa kuheshimu ujuzi wamtu yeye pamoja na kuto kujua chochote yeye ndio anataka amiliki ofisi wakati ofisi ni ya share
Haha ha sasa mbona unatoa povu
 
Wait wana kuja mapartiner muda sio mwingi
 
mkuu si mkataba mnaingia unao onesha mipaka ya kila mmoja...!!???
 
Mkuu ukihitaji patner wengi tutajitokeza may be tuendeleze kiwanda but unaposema umefika mbali wakati hata milion moja inakuwa shida m sikuelew
Ameshaanza ujivuni kuwa amefika mbali.Uliza alibaba,Facebook,Tesla waanzalishi wana hisa ngapi za kampuni utashangaa.
 
mkuu kabla ya yote nikupe hongera mpaka ulipofikia, me nakushauri waone SIDO mkoa ulipo watakupatia mkopo bila shaka yeyote, pia watakusaidia vingi kv masoko katika biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…