kiwanda hiki kinatengenza parfume ya baba?

kiwanda hiki kinatengenza parfume ya baba?

SaidSabke

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2006
Posts
2,071
Reaction score
402
bwana mmoja kila siku alikuwa akirudi nyumbani amelewa pombe(beer).mtoto mdogo humuuliza mama yake baba annuka nini mdomoni.Kwa kutunza heshima ya mumewe humjibu amejipakaa perfume.Siku moja mama alienda na mtoto wake huyo soko la mchikichini ilala kumnunulia mtoo viatu kawa bahati mbaya alivikosa na kuamua kwenda naye kariako kwa miguu akipita karibu na kiwanda cha brewaries.alpofika hapo mtoto alipata harufu ya bia .akamuuliza mama yake hivi baba yumo humu manake nasikia harufu ya baba.
 
Back
Top Bottom