Hamisi Mhoja Member Joined Nov 22, 2019 Posts 22 Reaction score 23 Nov 22, 2019 #1 Niliomba kufahamu Gharama za kuanzisha Kiwanda kusaga nafaka,Yaani Mashine ya kukoboa mahindi complete,mashine ya kusaga mahindi complete na Mashine ya kukoboa Mpunga.Naomba kujuia gharama na pia mawazo kutoka kwa wazoefu,Nipo igunga tabora
Niliomba kufahamu Gharama za kuanzisha Kiwanda kusaga nafaka,Yaani Mashine ya kukoboa mahindi complete,mashine ya kusaga mahindi complete na Mashine ya kukoboa Mpunga.Naomba kujuia gharama na pia mawazo kutoka kwa wazoefu,Nipo igunga tabora