Kiwanda kidogo cha kutengeneza mabati

Malinyingi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
864
Reaction score
164
Wakuu habari za kazi!
Tafadhali kwa yeyote Yule anaejua ni kiasi gani cha mabati( bati) kinaweza kuzalishwa kwa wastani kutokea katika corrugated steel sheet(material ya kutengenezea bati).
ninadhumuni la kuanzisha kiwanda kidogo cha KUTENGENEZA bati, kuna mtu anayo machine (aliachiwa ya Urithi na ameamua kuiuza) hajawahi kuitumia hata siku moja tangu apewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…