njombefinest
Member
- Jul 6, 2026
- 20
- 26
Mkuu, Google bei ya machine yenye filter(inategemeana na ukubwa).Wakuu habari za Leo naombeni msaada mwenye taarifa zozote juu ya mtaji, gharama za mashine, malighafi Kodi na tozo zote za serikali anisaidie hapa zinazohusiana na kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti
Natanguliza shukrani π
Tumia ChatGPT or Gemini upate mwongozo, ila ujue kuuliza maswali muhimuWakuu habari za Leo naombeni msaada mwenye taarifa zozote juu ya mtaji, gharama za mashine, malighafi Kodi na tozo zote za serikali anisaidie hapa zinazohusiana na kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti
Natanguliza shukrani π
πTumia ChatGPT or Gemini upate mwongozo, ila ujue kuuliza maswali muhimu
Aina au jina ipi la machine unayoshauriMkuu, Google bei ya machine yenye filter(inategemeana na ukubwa).
Kwa mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Tanga, Mtaji mzima wa hiyo biashara kwa makadiriao isipungue milioni 15(hii ni kwa kuanzia).
Changamoto ya AI huwa Haina real time accurate dataTumia ChatGPT or Gemini upate mwongozo, ila ujue kuuliza maswali muhimu
Sasa hiyo si unaweza kutafuta kwa namna nyingine, for sure itakupa way more than real time data, naitumia kwenye mambo yangu mengi, kiukweli naiamini kuliko wanaojiita expertsChangamoto ya AI huwa Haina real time accurate data
Sure mkuu nitazingatiaSasa hiyo si unaweza kutafuta kwa namna nyingine, for sure itakupa way more than real time data, naitumia kwenye mambo yangu mengi, kiukweli naiamini kuliko wanaojiita experts