Kiwanda Kipya cha Drone Mpya kwa jina la Gaza Chalipuka

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Ule Mlipuko uliotokea Nchini Iran wiki iliyopita imefahamika ni kiwanda cha Drone mpya za Iran zilizopewa jina la ''GAZA'' kazi ambayo ni copy ya Drone ya Marekani na Drone ya Israel kwa Pamoja... Mlipuko ambao uliwajeruhi karibu watu tisa kiwandani hapo. Kiwanda hicho kinatengeneza vifaa vya ndege na drone kwa ajili ya Jeshi la Iran pamoja na wafuasi wake Gazeti la Guardian lilirepoti.

Iran imesema itafanya uchunguzi kujua nini kimesababisha japo kwa Mara ya kwanza hawajaihusisha lawama Israel.
  • shares


Iran: Large fire reported at oil refinery, day after drone factory blast​

The refinery was inaugurated by Iranian President Hassan Rouhani just a few months ago, with an expectation of generating about $1 billion in revenue for Iran.​



Fire at a petrochemical plant in the Shokuhieh Industrial Town in the Qom Province of Iran
(photo credit: TASNIM NEWS AGENCY) Kiwanda kingine kimeungua baada ya kile cha Drone.

Iranian facility where blast occurred was drone factory
Just days after Israel accused Iran of supplying drones to Hamas, "mysterious explosion" strikes in heart of Iran.
Tags: Iranian Missiles Explosion Drone Attack
Arutz Sheva Staff , May 23 , 2021 7:14 PM
Share


IDF drone
Flash 90
Just days after Israel accused Iran of providing drones to Hamas in Gaza, a factory where such drones are manufactured has fallen victim to a mysterious explosion.

The blast, at the Iran Aircraft Manufacturing Industrial Company, injured at least nine workers. According to The Guardian, the factory “produces a variety of aircraft and drones for Iranian and pro-Iranian forces.”

Last week, while the Israel-Gaza war was still raging, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu displayed what he said were shards from an Iranian-made drone that the IDF had downed.

So far, Iran has noted merely that “the reason for the explosion is under investigation.”
 
yetu macho tuu! Iran inatest zari! tuwapatanishe hawa watu wawili ili dunia ifaidi amani. enzi za kuikamiana ziishe na watu wasiuwawe kwa vita tena.
 
Acha uongo ww mgalatia ulieshiba makande , hakuna hio habari hio dunia nzima, wagalatia wa buza mkishakukaa na kuangalia propaganda za wazayuni eti kiwanda cha drone kimeripuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani uwongo wenu kama vile mnavyodanganyana na gwajima jumaapili, TAFUTENI PROPAGANDA NYENGINE NA UONGO MWENGINE MJIPANGE VIZURI HAKUNA KIWANDA HATA KIMOJA KICHORIPUKA, habari ya mwisho leo Iran imevumbua RADA mpya ambazo inavyosemekana hazina tofauti na walizotoa Russia mwezi wa 9 / 2020 imekua ni tishio na uzi nakuja nao
 
Acha waje wairani wa kwamtogole watabisha na kukushambulia.
Sijui kwa nini watu uchukulia propaganda za MSM za magharibi as gospel TRUTH - mnategemea gazeti la Guardian la Uingereza ambalo mmiliki wao si ajabu ni mwenye asili ya kiyahudi kama zilivyo media za Merikani kaskazini - hivi inaingia akilini leo Iran iseme imeunda drone aina ya GAZA kesho yake kiwanda kinalipuliwa - na nyie mna amini stori hizi za kutunga. Poleni sana.
 
Baada ya israel ktpewa kichapo mmeanza kujifariji na stori hakuna kiwanda kinacho itwa gaza hata hiyo drone ni ya majuzi aisee njoo nikupe tution ya uwongo
Hawa jamaa ni vituko sana, wanakaa wakijitungia uongo alaf Admini anaacha hizi mada za uongo sjui kwanini
 
Hivi wale Wairan Ceprian Musiba alikuwa anawasema bado wapo
 
Msipelekeshwe kama kumbikumbi huo uwongo kama wagwajima, hakuna kitu kama icho kimetokea, Wairan wako byzy na Election soon Ahmad nijaad anarudi tena kuwa rais
Mahmoud Ahmadinejad jina lake halijarud kutoka kwenye kamat anaeongoza kwa mujibu wa majina saba yaliyorud kutoka kwenye kamat ni Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…