FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Sep 25, 2022 #1 Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
feitty JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 2,594 Reaction score 4,189 Sep 25, 2022 #2 Hongera zao wameokoa wengi na hizo ajira.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Sep 25, 2022 #3 Kati ya hao 3000 lazima 50 watolewe kafara. Cc Mzee Shirimaa
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Sep 25, 2022 Thread starter #4 feitty said: Hongera zao wameokoa wengi na hizo ajira. Click to expand... Nadhani iwe chachu ya sisi kuomba hata muwekezaji wa kuunganisha baiskeli tu
feitty said: Hongera zao wameokoa wengi na hizo ajira. Click to expand... Nadhani iwe chachu ya sisi kuomba hata muwekezaji wa kuunganisha baiskeli tu