Kiwango cha Ayoub kiliuliwa na Cadena. Simba haina kabisa kocha wa makipa. Sasa Wanadakia uzoefu tu

Kiwango cha Ayoub kiliuliwa na Cadena. Simba haina kabisa kocha wa makipa. Sasa Wanadakia uzoefu tu

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Cadena alipoachiwa timu nikajua madhaifu yake makubwa.

Mechi ya kwanza timu ilicheza na asec. Wachezaji walikuwa wamejeruhiwa misuli na mazoezi ya ovyo na magumu. Walicheza dk 40 tu wakachoka haswa.

Toka alipoingia Simba viwango vya makipa viliisha kabis. Sio Ayoub, Aly Salumu na Yule mbrazili hakifiti. Na ndivyo hali ilivyokuwa aakiwa Azam.

Nilimfata inbox baada ya gemu ya Asec kumwambia asichoshe wachezaji akaniblock. Asifananishe wachezaji wa simba kama wa Man U. Apunguze kuwarusha makipa.

Ayob alikuwa hawezi kuruka kwenye gemu akawa mzitooo.

Eti mechi ya Asec kweli ngoma na kapombe ni wakushindwa kutuliza mpira. Aliwakimbiza kama under 17.

Kama simba inataka mabadiliko + pamoja na mazoezi yake ya YouTube Cadena hafai kuwa kocha wa makipa
 
Kawe kocha wewe. Tumewachoka mashabiki wasiokuwa na jema kwa club.
Alilolisema mbona lilikuwa dhahiri, na mleta uzi alililalamikia siku moja kabla ya mechi? Au wewe ndugu ni mmoja ya wale watu wanaoamini makocha ni miungu wasiokosea, hivyo yafaa nao wakasikiliza ushauri?
 
Back
Top Bottom