Kiwango cha Elimu itolewayo na (NIT)

mosher

Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
43
Reaction score
5
Ngugu wana Jv naombeni mnijulishe juu ya kiwango cha elimu itolewayo na chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT)na hadhi ya chuo,Ushauri wenu ni muhmu ili niweze kufanya maamuzi yalio bora, nataka nikasome logistics and transport,
 
Nashukuru sana mkuu,nimeelewa sasa nimejua pa kuanzia na naenda kufanya maamuz sahh, kwa wakat sahh, icchoke napohita msaada wako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…