Kiwango cha elimu - Kampuni ya ujenzi

Kiwango cha elimu - Kampuni ya ujenzi

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Heri ya mwaka mpya

Mimi ninatarajia kufungua kampuni ya ujenzi. Nimetembelea website ya CRB kucheki jinsi ya kusajili kampuni ila info kuhusu kiwango cha elimu cha mmiliki au partners wake sijaona. Anayefahamu haya mambo anitumie link au anipe info.

Senkyu
 
mmoja wa directors anatakiwa awe professional wa sector ya ujenzi ... Architect, Engineer, Quantity Surveyor or Land surveyor
 
mmoja wa directors anatakiwa awe professional wa sector ya ujenzi ... Architect, Engineer, Quantity Surveyor or Land surveyor

So kwa hiyo hii kampuni lazima ianzishwe kama partnership but not a sole proprietorship? Huyo mwenye elimu ya ujenzi si anaweza kuwa mwajiriwa badala ya mmoja wa wamiliki au?
 
So kwa hiyo hii kampuni lazima ianzishwe kama partnership but not a sole proprietorship? Huyo mwenye elimu ya ujenzi si anaweza kuwa mwajiriwa badala ya mmoja wa wamiliki au?

Mkuu ... lazima iwe kampuni yaani limited company by shares or the likes of public company or corporation .... hivyo ni lazima awe director with shares or a shareholder na siyo mwajiriwa, kama ni mwajiriwa still atakuwa ni director ... hence managing director, technical direvtor etc
 
Back
Top Bottom