Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali.

Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
Viongozi wengi wa Kenya wana elimu nzuri tu. Siyo kama hapa kwetu Bongo unakuta kuna viongozi wenye Phd lakini uwezo hawana. Mjajadiliano ya ma-bunge yaliyofanywa yanaonyesha kabisa hawa watu wako level nyingine. Tanzania wabunge wenye uwezo wa kuingia Bunge la Kenya na wakafanya mjadala ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom