Kiwango cha Kusajiliwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) chaongezeka

Hapo sawa mauzo ya mln 100 kwa mwaka ni kawaida sana miaka hii hata kwa biashara za kawaida sana zisizo na sifa ya VAT, mln 200 si haba

Hongereni nafikiri mmeangalia pia kushuka kwa thamani ya shilingi na kupanda kwa bei za bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…