Kiwango cha Maji Mwilini

Kiwango cha Maji Mwilini

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
478
Reaction score
585
Habari za mda huu wanajamvi
Napenda kuuliza ni kwango gani cha maji kinahitajika katika mwili wa binadamu? Kumekua na info kwamba mtu mzima anywe maji yasiyopungua 3ltrs per day(hii ikiwa ni maji ya kunywa pekee), pia wataalamu wengine wanasema si lazima unywe maji tu mpka ufikishe kiasi hicho bali kwenye vyakula pia unaweza kupata maji. Naomba kufahamishwa zaidi
how-much-water-should-you-drink-each-day-by-gender.001.jpeg
 
Inategemea na harakati zako km una pilika pilika sana za kutumia nguvu au unakaa ofisini kwa muda mrefu, na hali ya hewa ya mazingira ya kipindi hicho, joto au baridi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom