Habari za mda huu wanajamvi
Napenda kuuliza ni kwango gani cha maji kinahitajika katika mwili wa binadamu? Kumekua na info kwamba mtu mzima anywe maji yasiyopungua 3ltrs per day(hii ikiwa ni maji ya kunywa pekee), pia wataalamu wengine wanasema si lazima unywe maji tu mpka ufikishe kiasi hicho bali kwenye vyakula pia unaweza kupata maji. Naomba kufahamishwa zaidi