Kiwango cha Manula kimeshuka.

Kiwango cha Manula kimeshuka.

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.

Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
 
Goli alilofungwa Diara, kama angefungwa Manula basi watu wangesema anafungwa magoli ya aina moja! Mashabiki ni watu wa mihemko tu!
 
Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.

Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
Manula hanaga kiwango siku zote huwa yuko overrated tu
 
Ukweli mtupu, lile goli hata mimi nimeshangaa, kwa kipa aliye serious hawezi kufungwa goli la namna ile tena kwenye mashindano makubwa kama caf champions league..
 
Manula yuko safi kabisa. Mabao anayofungwa Manula ni sawa kabisa na anayofungwa Diarra. Yaani yale ya kushtukizwa na washambuliaji papo kwa papo kiasi kuwa reactin time yake inakuwa haitoshi. Mimi niliwahi kuwa golikipa namba moja ninajua ugumu wa kulinda lango!
 
Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.

Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
Kweli, ila sikuwa naelewa huyu Enock ndio anafokea wenzie kosa likifanyika?
 
Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.

Kwamba angefanyeje hapo? Elezea kidogo kujenga hoja ya kiufundi, huenda ikasaidia magolikipa chipukizi

1676881206610.png
 
Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.

Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
hapana hajashuka sba ilizidiwa
 
Back
Top Bottom