Manula hanaga kiwango siku zote huwa yuko overrated tuTukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.
Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
Kweli, ila sikuwa naelewa huyu Enock ndio anafokea wenzie kosa likifanyika?Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.
Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.
Kwamba angefanyeje hapo? Elezea kidogo kujenga hoja ya kiufundi, huenda ikasaidia magolikipa chipukizi
View attachment 2523912
hapana hajashuka sba ilizidiwaTukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu.
Hata lile goli la pili lililo fungwa na Raja kwa kipa ambaye yuko makini hakusihili kufungwa goli kama hilo.