Kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini PR 55-59 hutokana na nini?

Kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini PR 55-59 hutokana na nini?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu napenda kujua kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini hutokana na nini...
 
Mapigo ya moyo ya watu wa mazoezi na ambao moyo uko fit sana wakiwa wametulia (resting heart rate) huweza kuwa hata mapigo 40 kwa dakika

Mwili wa binadamu usiangalie kipimo kimoja tu, lazima uangalie vingi kupata picha kamili.
 
Back
Top Bottom